Kumbe ukifikia kiwango hiki ndio unaitwa Malaya?

Kumbe ukifikia kiwango hiki ndio unaitwa Malaya?

Wakati Rais anatangaza wagonjwa Tele wengine kwenye mitungi.

Na sisi JF tunao watu kama hawa
 
Binafsi naona umalaya hauna maana hata, wala sio ujanja ni ufala tu.
Ujanja ni kua na demu mkali hadi ukipita nae watu wanageuka kuwatizama au
Ujanja ni kua na demu ambae siwa kukupa tunda pekee bali pia awe demu wa faida, awe msaada kwako kwa sehemu moja ama nyingine kimaisha.

Ila kama ni kupalamia papuchi ovyoovyo huwa mwishoni ni majuto tu, let say mmoja kati ya hao wasichana ushatia mimba, unatasolve vip hiyo inshu kama sio kijitia matatizo na laana tu.
 
WEWE ULIJUAJE KUA WOTE UMEWATAFUNA KWA USAHIHI NA UMEPERFOM VIZURI?
NAFIKIRI HAO MADEMU NDIO WANAJUA KAMA ULIWATAFUNA KWA USAHIHI LAKINI SIO WEWE, WEWE UNAWEZA KUJISIFU HATA KAMA ULIKUA DHAIFU.
 
Habari wakuu pole na majukumu ya uzalishaji.

Leo Mimi nimeshangaa Sana kukutana na wadada wa wili, mmoja nimemtafuna saa nne asubuhi na mwingine akaja Geto pia saa saba mchana na wote nikawatafuna kwa kiwango sahihi na ni kawa na perfomance nzuri tu.. hivi sitayari kiwango hiki ni chakuitwa Malaya, Kama uhuni ulivyo na kiwango tofauti tofauti. Je ? Wewe mwenzangu pia unahisi uko ktk kiwango gani Cha Umalaya?

Tusemezanwe na tujuane viwango.
Hapo bado sana hujafikia kua malaya kazana kabisa maana kuna tuzo huko marekani ukatuwakilishe,ukishinda utakua umekua malaya wa uhakika.
 
WEWE ULIJUAJE KUA WOTE UMEWATAFUNA KWA USAHIHI NA UMEPERFOM VIZURI?
NAFIKIRI HAO MADEMU NDIO WANAJUA KAMA ULIWATAFUNA KWA USAHIHI LAKINI SIO WEWE, WEWE UNAWEZA KUJISIFU HATA KAMA ULIKUA DHAIFU.
Ukiona mkimaliza kutafunana mdada akajaza glass moja ya maji akanywa ujue apo umeshugulika effectively
 
Back
Top Bottom