Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mbona ziko sana Bongo. Mwanamke anajilengesha kwako kimakusudi, anakuonesha kila dalili kuwa anapatikana japo ni ghali. Nawe unasema 'potelea mbali bwana, starehe gharama', unagharamia. Hapo anakuwa ameshahakikisha kuwa unazo hela za kujilipia ransom. Anafanya framing nzuri, anajifanya ati ni ma-romance anakufanyia ya kukuvua nguo zote ili ufaidi vizuri, wakati umepagawa ndio unadhani sasa ndio ule muda wa kufaidi umefika, unashangaa mlango unafunguliwa (hauvunjwi), wanaingia ndani na mapanga, video camera, na mkataba unaoonesha kuwa umeuza gari yako kwa mmoja wa wafumaniaji, hapo unaamriwa ukitaka kupona uusaini huo mkataba na kumpigiaWanaonekana hawako serious, huyu dada kama anatabasamu vile au wamekula deal yeye na mumewe ili wamchomoe pesa huyu bwana?
Huu ulikuwa mchezo wa kuigiza? kwani mwanamke haoneshi wasiwasi kabisaa,manake movie za kibongo hazina uhalisia kabisa.
tatizo wanakuwaga watamu pia!! hapo sasa......sumu na utamu vipo pamoja!Mke wa mtu ni hatari jamani!.....USIKIE REDIONI TU!