Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

Nimepiga energy ya azam yokeaa sa sita Hadi saas HV Wala hkn njaa nasikia

Nadhani kinywajji hiki iatasadia wengi
Ila tafadhalini usinywe Zaid ya mbili kwa siku

Leo Sina pesa kbsa ya kula
Asanteni
A
Watu huwa tuna kunywa eneji na kulia Chapati kabisa, Mimi kila asubuhi lazima ninywe eneji Kwanza. Kuna vijana saidia fundi kwenye site za ujenzi huwa wanakula eneji na ugali kabisaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ