Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

Watu huwa tuna kunywa eneji na kulia Chapati kabisa, Mimi kila asubuhi lazima ninywe eneji Kwanza. Kuna vijana saidia fundi kwenye site za ujenzi huwa wanakula eneji na ugali kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani Manyanza ukisema ww ndio saidia fundi mwenyewe nani atakupiga?? 🀣🀣🀣
 
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia

Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku

Leo Sina pesa kabisa ya kula.

Asanteni
Mkuu hebu katafute hata mihogo ule , huwezi kushiba na chemicals hayo...ndio yale asemayo Prof Janabi
 
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia

Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku

Leo Sina pesa kabisa ya kula.

Asanteni
Ndugu acha hii kitu, kuna fundi alifia kwangu ile siku kabla Idd baada tu ya kunywa Energy,

Alikuwa anafanya kazi kwangu ya ujenzi muda wa kufuturu alikuwa anakunywa Azam Energy kabla hata ya kuimaliza tukaona mtu amekaa chini akilalamika anajisikia vibaya mwili hauna nguvu, anatokwa na jasho, ikabidi tumkimbize zaanati ya karibu ndipo tunapewa taarifa ameshaagana na roho, mpaka hivi leo siko sawa kabisa.
 
Alikuwa amefunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…