situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote.
Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo hapo kusoma na kuandika. Tafadhali kama unaujuzi au umefanya utafiti au una mawazo ya haraka naomba unijuze