Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Msimu wa masika huu nadhani unajua kinachoendelea pale jangwaniSio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha.
Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine.
Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu!
Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
Yule mla sukari kina Samatta wanamtizama kama kituko kujaribu kaubishana na mahakama wakati kifungo kiko palepaleKwaiyo sitazi yetu nani pale kasimama kama comedian, tusanuane wakuu
Mtoa mada anaiongelea stars ya Senegale wewe! Hata siyo hiyo unayo ifikiria wewe.Kwaiyo sitazi yetu nani pale kasimama kama comedian, tusanuane wakuu