Kumbe upinzani hapa Tanzania maana yake ni uadui na serikali! Duh hii kali

Kitendo cha mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea hiwa wanafinywa kende zao maama hawana maana kabisa
Kwani vyama vingine vya siasa nje ya ccm vinaitwaje
Ndio
Maana siku zote tunasema vilipaswa kuitwa vyama shindani na sio vyama vya upinzani
Ccm yenyewe usiku na mchana ni kuvipiga rungu tangaza wewe kuwa vyama vya upinzani uone moto utakao pitia kutoka ccm na police wake na tra na uhamiaji
 
Kitendo cha mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea hiwa wanafinywa kende zao maama hawana maana kabisa
Wenye jukumu la kuona wana minywa tunaanza kuwatambua kidogokidogo
 
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Wako wapi Ben Saanane, Azory Gwanda, Mzee Ali Kibao, Soka, Mdude, na government critics wengine wengi?
 
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Hao ndo maana Mungu anaendelea kuwalaani Kila takwa au mpango wao wowote unabuma asubuhi na mapema. Wataendelea kulaanika zaidi.
 
Upinzani wa kukinukisha
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
 
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Lazima wahoji.....hata mimi nahoji. Lisu yuko jela/kesi hajwahi kufika wakati yeye ndiye muasisi wa chdema. Mwenye akili atahoji kulikoni!
 
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Sasa kama serikali inawateka, inawatesa,inawapoteza na kuwaua kikatili wapinzani unategemea mahusiano yao yawe ya kirafiki kweli?
 
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.

Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Siyo uadui.Na, ndiyo maana akina Mzee Kibao,Saanane,Mdude na wengineo wamepewa nafasi na CCM za kuishi ikulu.
 
Back
Top Bottom