Kumbe USA walianza na nyumba za Tembe pia?

Kumbe USA walianza na nyumba za Tembe pia?

Sisi bado tunaishi ktk nyumba hizo so Marekani wako mbele yetu kwa miaka 150
 
Unaota wewe!

Mwaka 1870 ni miaka 50 kabla ya kuzaliwa Nyerere kumbuka na tayari Marekani ilikua huru kwa takribani karne nzima (100) iliyopita wakati huo tayari walikua wameshapitia kwenye mapinduzi ya viwanda, wanao mtandao wa reli, teknolojia ya kedekede.....kumbuka hilo.

Tembe marekani kwa mwaka 1870 sio kiashiria cha umasikini ispokua ni uchaguzi wa mtu tu. Hata leo tembe inaweza kujengwa NewYork.
 
Back
Top Bottom