Wewe unaonaje?Yeye mwenyewe ndo kasema aoni ,,, unambishia??
Sina imani kwamba eti "haoni kabisa"Yeye mwenyewe ndo kasema aoni ,,, unambishia??
Umeona anaona au haoni?me naona fresh tu mkuu
unanisuta wakati me nimenukuu tu maneno yakeWee nae mbona kama umekurupuka, umesikiliza mwenyewe alichosema au umehadithiwa
Amesema alipata tatizo mwaka 2015 lilipelekea upofu kwa jicho lake moja kwa hiyo jicho moja ndio halioni, hizo habari za tangia mtoto umezitoa wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi nimepaliwa khaaaah lolOk. Ana uoni hafifu, inawezekana hata mjulubeng wa jux alikuwa hauoni vizuri ndipo akamtafuta yule jamaa shombeshombe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]