baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,884
sina mda wa kuwasalimu
Kupitia video fupi aliojirekodi mwana music wa zamani Vanessa mdee AKA vee money,,, Ametuambia kua yeye alipata tatzo la macho akiwa mdogo lilopelekea kutokuona kwake
Nawasilisha, usimcheke mtu jamaan watu walikuwaga wanamcheka macho yake kumbe bidada aoni[emoji848][emoji848]