Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kasema anaona kwa jicho mojaSina imani kwamba eti "haoni kabisa"
Sana sana aseme ana uoni hsfifu, lakini kusema eti haoni kabisa 🤔 hapo inabidi tumpime mkojo aise 🤔
Sijui kwa jini kaamua kusema mm sikuona sababu angenyamaza tu maana hata huwezi jua kuwa jicho lake lina shida.Poleeeh yake vee, ila ana uoni hafifu wa jicho 1.
aliyesema hivyo ni v- money au mleta Uzi 😎Kasema anaona kwa jicho moja
Vannesa mwenyewealiyesema hivyo ni v- money au mleta Uzi 😎
Yaan kaniumiza mno vee ku press hivi kwakweli, wala haikua haja ya kufanya hivi. [emoji24][emoji24][emoji24]Sijui kwa jini kaamua kusema mm sikuona sababu qngenyamaza tu maana gata huwezi jua kuwa jicho lake lina shida.
Au kuna umbea ushaanza kutoka akaona aliweke waziYaan kaniumiza mno vee ku press hivi kwakweli, wala haikua haja ya kufanya hivi. [emoji24][emoji24][emoji24]
Amesema jicho moja haioni kabisaSina imani kwamba eti "haoni kabisa"
Sana sana aseme ana uoni hsfifu, lakini kusema eti haoni kabisa [emoji848] hapo inabidi tumpime mkojo aise [emoji848]
Mie niliona insta week ilopita, lulu diva alipost hivi "slay Queens wengine bhana, wanajiona wao ndo wamepatia maisha kisa kuwa huko majuu, kumbe hawana maajabu yeyote, wanafanya make up za bei mbaya bado zinagoma, afu ni vipofu."Au kuna umbea ushaanza kutoka akaona aliweke wazi
Acha masikharaye si anatongozwa tu ,,,anasikiliza saut akiipenda anakubali
Dah ukutecalimlenga yeye. Vee hata asipofanya make up ni mzuri tu. Watu wana wivu tuuMie niliona insta week ilopita, lulu diva alipost hivi "slay Queens wengine bhana, wanajiona wao ndo wamepatia maisha kisa kuwa huko majuu, kumbe hawana maajabu yeyote, wanafanya make up za bei mbaya bado zinagoma, afu ni vipofu."
Sasa ndo na connect kwa vee naona inakuja, ila mbona divah hana ugomvi na vee, ndo napatwa mashaka hapa.