Kumbe Vannesa Mdee ni Kipofu/Haoni

Kumbe Vannesa Mdee ni Kipofu/Haoni

Sijui kwa jini kaamua kusema mm sikuona sababu qngenyamaza tu maana gata huwezi jua kuwa jicho lake lina shida.
Yaan kaniumiza mno vee ku press hivi kwakweli, wala haikua haja ya kufanya hivi. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sina imani kwamba eti "haoni kabisa"
Sana sana aseme ana uoni hsfifu, lakini kusema eti haoni kabisa [emoji848] hapo inabidi tumpime mkojo aise [emoji848]
Amesema jicho moja haioni kabisa
 
Au kuna umbea ushaanza kutoka akaona aliweke wazi
Mie niliona insta week ilopita, lulu diva alipost hivi "slay Queens wengine bhana, wanajiona wao ndo wamepatia maisha kisa kuwa huko majuu, kumbe hawana maajabu yeyote, wanafanya make up za bei mbaya bado zinagoma, afu ni vipofu."

Sasa ndo na connect kwa vee naona inakuja, ila mbona divah hana ugomvi na vee, ndo napatwa mashaka hapa.
 
Yaani kama angekuwa haoni miaka yote hiyo tungehitaji yeye aseme mwenyewe ndio tugundue?.....kwani Mtu asiyeona hatumtambui, unatuonaje aisee?.
 
Mie niliona insta week ilopita, lulu diva alipost hivi "slay Queens wengine bhana, wanajiona wao ndo wamepatia maisha kisa kuwa huko majuu, kumbe hawana maajabu yeyote, wanafanya make up za bei mbaya bado zinagoma, afu ni vipofu."

Sasa ndo na connect kwa vee naona inakuja, ila mbona divah hana ugomvi na vee, ndo napatwa mashaka hapa.
Dah ukutecalimlenga yeye. Vee hata asipofanya make up ni mzuri tu. Watu wana wivu tuu
 
huyo atakuwa chongo tu
mke wangu mama shaibu alikuwa hana pua ya kunusa lakini anajua hadi jirani mama tifu kapika pilau
sura yake si itakuwa inatisha sana kama hana pua uyo mama shaibu
 
Back
Top Bottom