Kumbe Vinywaji Nusu Bei ni Serena Hotel Pekee!

Kumbe Vinywaji Nusu Bei ni Serena Hotel Pekee!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Sasa wakuu na wajuvi wa mambo, njooni mtujuze bia moja hapo Serena Hotel ni sh. ngapi? Halafu tugawe kwa nusu bei.

Huu ni uhuni mwingine toka kwa Makonda! Ilipaswa sehemu kama Tabata kuwe na walau na centre moja ya nusu bei, ukija Tegeta unapata centre pia, Ubungo hivyo hivyo na maeneo mengine ambayo yanaweza kufikika kwa urahisi na ambapo wanaishi wanamichezo halisi achana na wale mabwanyenye!

Ama kweli wajinga waliwao!
 
Write your reply...daaah sasa inakuwaje mie ndo nakaribia
 
walevi walijipanga kwa kutokunywa bia kwa siku mbili
 
Back
Top Bottom