Kumbe Vinywaji Nusu Bei ni Serena Hotel Pekee!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Sasa wakuu na wajuvi wa mambo, njooni mtujuze bia moja hapo Serena Hotel ni sh. ngapi? Halafu tugawe kwa nusu bei.

Huu ni uhuni mwingine toka kwa Makonda! Ilipaswa sehemu kama Tabata kuwe na walau na centre moja ya nusu bei, ukija Tegeta unapata centre pia, Ubungo hivyo hivyo na maeneo mengine ambayo yanaweza kufikika kwa urahisi na ambapo wanaishi wanamichezo halisi achana na wale mabwanyenye!

Ama kweli wajinga waliwao!
 
Write your reply...daaah sasa inakuwaje mie ndo nakaribia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona swala la happy hour huwa ni swala kawaida sana bar mbalimbali na tumeshaozoyea sana hata mikoani.

Yani wanaume wa dar mlidhani maduka na mabaa yatapewa amri na Bashite wauze bia nusu bei??

Nashauri kunyweni konyagi kubwa mkalale kesho ni siku ya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walevi walijipanga kwa kutokunywa bia kwa siku mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…