Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi.
Waheshimiwa wanaogopa kukutana na Mungu siku wakifa hii pia ni sifa ya mnyama
Waheshimiwa wanamtukuza joel lwaga na moni centrozone, hii ni ishara ya kwamba wenyewe walipo bado hawajui ni wapi ila ni wote tutasonga kwa imani..
Waheshimiwa bado wanapenda kula nyama ya ng'ombe
waheshimiwa bado wanaenda kwa waganga, hii ni ishara ya watu wanaoota ndoto, tena mchana,
waheshimiwa bado wanaitukuza lugha ya imani na matumaini
Historia ya waheshimiwa bado ipo kwenye mikono ya mungu
Asilil ya waheshimiwa bado ipo kwa mungu
Maisha yao bado yanamtegemea mungu,
Miili yao bado ina hadithi ya mungu, tena yule wa kiyahudi, bado hajafa, wanavyodai ni roho mtakatifu,
Bado wapo wenye maadili ya kitumwa, no noble race,
waheshimiwa bado na wao wanajiuliza kama ni kweli yesu alizaliwa au hakuzaliwa,
Waheshimiwa bado wanakijua cha ndani, kwao kiswahili kinatumika kwenye masihara,
waheshimiwa mungu awabariki na kuwalinda, mkawe wenye afya njema na yakumpendeza mungu,
Kanisa limekuwa leo tumepata kardinali waheshimiwa ni muda wa kuhangaika na story nyingine,
Ni kweli tunaambiwa makampuni yataangusha mataifa ila kisiwe ndio kigezo cha nyie kutokuweka nguvu kwenye ujasiriamali wa ndani, mwanzo tulilegalega, tukiendelea kulegalega na huku kwenye biashara tutaishia kuwa na mmoja na nyie mjiangalie huko kwenu kuna nafasi zipo duniani na nyie pia mnahitajika vile vile halafu sijui mtaambia wajukuu mlikusanyika pamoja kufanya nini, kama ni kuvuta sigara watajua...
Baba wa taifa la watu masikini alipewa utakatifu, kwa kuweza kuwaua mabwana na kutufanya wote tukawa watumwa, kuna nafasi ya kurekebisha hili,, history is hostile
wakiipost ntarudi