Ni jambo lililozoeleka kusikia wabongo kutukanwa na kushushiwa vipigo kwenye baadhi za ofisi za wahindi na biashara, hali hii ilikuwa tofauti kwenye kiwanda flani cha waarabu.
Kuna siku Moja ya mabosi mwarabu alipishana kauli na mfanyakazi, kwenye kurushiana maneno muarabu jasiraa zilimpanda akampiga mbongo.
Kumbe mbongo ana ndugu yake polisi, defender ilikuja pale, aisee !! muarabu kuona vile aliruka ukuta hakuonekana wiki 2 simu kazima, Ilibidi ndugu zake wampooze aliepigwa yaishe chini ya kapeti.
Lakini nilitafakari sana ni kwanini ni ngumu sana kuwakuta waarabu na wahindi jela au kuona wana kesi mahakamani, Inavyoonekana hawataki kabisa kuwa kwenye 18 za vyombo vya sheria.