Kumbe wabunge waliohamia CCM kutokea Chadema siyo " minesterial material" naona teuzi zinawapitia mbali hadi wengine wanarudia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu.

Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani?

Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mpaka wapinzani wanapewa uwaziri ina maana huko ccm waliopo ni vichwa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu.

Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani?

Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Lengo ni kuikomoa CDM, siyo kuwa alikuwa natafuta watendaji wazuri. Acha unafiki hilo unalijua!
 
Wanakuja kukuvamia Sasa hivi. Nami nina swali, hivi CHADEMA ikishika dola, Sugu au Lema watakuwa moja ya mawaziri?
 
Tutegemee Sheria za hovyo zaidi hasa vyama vya upinzani kukandamizwa pamoja na TLS(Tanganyika law society) kufutwa moja Kwa moja....
Pia Sheria za mitandao ikiwemo jamiiforum tujiandae kufutwa mojakwamoja
 
Magufuli kawachukia kabila la Lowassa kisa ushindani mkubwa alioutoa mwaka 2015! Una swali jingine?
 
Back
Top Bottom