johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mpaka wapinzani wanapewa uwaziri ina maana huko ccm waliopo ni vichwa maji.Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu.
Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani?
Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Lengo ni kuikomoa CDM, siyo kuwa alikuwa natafuta watendaji wazuri. Acha unafiki hilo unalijua!Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu.
Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani?
Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo.
Maendeleo hayana vyama!