Kumbe wadada nao wamo, leo kalegea tukiwa kwenye daladala

Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1

Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita
Mwanzo 2:19

Usimpe mwanamke mwingine upendo anaostahili mke wako. Huo ni uasherati.
Matayo 5:28

Usimlinganishe mke wako na mwanamke mwingine. Kama huyo mwanamke alikua anakufaa basi Mungu angekupa umuoe
2wakorinto 10:2

Uwe mpole, mvumilivu na msikivu. Amevumilia mengi na amejitolea na ameacha vingi ili awe pamoja nawe. Inamuumiza sana unapokua mkali na kumkera
Waefeso 4:2

Usimfiche chochote. Mmekua kitu kimoja na hivyo ni msaidizi wako, usiweke siri yoyotr kati yenu
Mwanzo 2:25

Usiseme kitu kibaya kuukosoa mwili wake. Amejitolea uzuri wake na mwili wake kukuzalia ww watoto. Ni binadam pia mwenye moyo, sio mwili tu.
Mithali 18:22

Usiulinganishe mwili wake na thamani yake. Mthamini hata pale mtakapofikia uzee
Waefeso 5:29

Usimkaripie kwenye umati wa watu. Suluhisheni matatizo yenu chumbani mkiwa wenyewe.
Matayo 1:19

Mshukuru kwa kuwalea watoto wenu vizuri, nyumba yako pamoja na wewe. Kwani amejitolea kufanya hayo yote.
1wathesalonike 5:18

Mapishi ya wanawake hayafanani. Furahia mapishi ya mke wako. Sio rahisi kumpikia mtu milo mitatu kwa siku kwa siku 365 kwa mwaka kwa miaka mingi mlioishi wote
Mithali 31:14

Usiwaweke ndugu zako kabla yake. Yeye ni mke wako. Ndiye anaekaa na ww. Lazma umpe kipaombele kabla ya ndugu zako.
Mwanzo 2:24

Wekeza katika ukuaji wake kiroho. Mnunulie vitabu, na chochote ambacho kitamsaidia kukua kiroho atembee na Mungu siku zake zote. Hicho ndicho kitu cha pekee unachoweza kumfanyia mke wako.
Waefeso 5:26

Tumia mda wako ukiwa nae kujifunza bibilia na kusali
James 5:16

Tenga mda wa kukaa nae, kucheza nae na kufurahia uwepo wake. Kumbuka, utakapofariki, yeye ndiye ataaesimama pembeni ya kaburi lako. Huenda marafiki zako wakawa na kazi nyingi na kushindwa kuhudhuria.
Mhubiri 9:9

Usitumie pesa zako kumrubuni au kumpelekesha. Pesa zako ni za kwake pia. Mmekua kitu kimoja na ni mrithi wa kila ulicho nacho ulieunganishwa nae na Mungu.
1peter 3:7

Usifichue madhaifu yake. Utakua unajifichua na ww. Mlinde.
Ephesians 5:30

Waheshimu wazazi wake na kuwa na moyo wa upole kwa ndugu zake.
Wimbo ulio bora 8:2

Usiache kumuambia ni jinsi gani unampenda kila siku ya maisha yake. Mwanamke hachoki kusikia hilo.
Ephesians 5:25

Kua katika njia ya Mungu, ndicho kitu kitakacho kufanya uwe mume bora na mwenye hofu ya Mungu.
Warumi 8:29.

OKOA NYUMBA LEO, SAMBAZA KWA WENGINE.

January ngumu sana hii.
ahahahh mkuu mchambuzi...mimi bado nina machungu ya kuvamiwa tegeta machakani sina simu na magu amebana sana ila nasubiri mshahara wa februari nitafute japo ya smart ndogo ndogo

Ndio maana sipendi mpenzi wangu apande daladala anakutana na vijana wenye mfadhaiko kama nyie
Ni kweli mtu mwenye mfadhaiko utamjua tu...Hivi si anaweza kutongoza akapata msichana? Kwa nini avizie kugusa makalio kwenye daladala? kama akiwa na girl friend hawezi kuwa na behavior hiyo. Hiyo ni behavior ya mtu mwenye ukame ambao kwa kiasi kikubwa inachangiwa na psychological reasons. either he is too timid to seduce women kutokana na mazingira aliyolelewa labda baba alikuwa mkali sana na factors nyingine...na mara nyingi huyu ni mtu wa umri wa kati au balehe....

Anakuja pm kukutongoza

Tatizo ni elimu...sijui kwa nini watanzania hatutaki kusoma...in life sex is a very small aspect. Kuna mambo mengi sana tunapaswa kuyaangalia... any way
Anakuja pm kukutongoza[/QU

Tatizo ni elimu...sijui kwa nini watanzania hatutaki kusoma...in life sex is a very small aspect. Kuna mambo mengi sana tunapaswa kuyaangalia... any way
So y dnt u teach him...u cn make him awe jinsi unavyotaka ww the perfect guy as nyie wadada mnavyosema cku hizi

Would you please kindly compose your message properly, I cannot make sense of the initials you use in your composition, perhaps it would be good to compose your views in Swahili? Sorry for this.

Kama naona tz ya viwanda

Would you please kindly compose your message properly, I cannot make sense of the initials you use in your composition, perhaps it would be good to compose your views in Swahili? Sorry for this.
I cn compose a song if u wnt

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…