real t
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 334
- 237
[emoji81] [emoji81] [emoji81]Mwanamke umembana muda wote huo umeshindwa kuongea naye? Ole wako nikute siku umeanzisha uzi unatafuta mke....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji81] [emoji81] [emoji81]Mwanamke umembana muda wote huo umeshindwa kuongea naye? Ole wako nikute siku umeanzisha uzi unatafuta mke....
Hahahha kivipi mzeeTeh teh..Ndo mitego yao hiyo siku hizi mkuu..Udhaifu wako ungekuelemea na kumchafua ndo ungeliona balaa lake..Pesa lazima ingekutoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili kumkichwa angejuta alilegea kuvizia hela yako!ungecheua wazungu lazima ungekuwa mguu sawaTeh teh..Ndo mitego yao hiyo siku hizi mkuu..Udhaifu wako ungekuelemea na kumchafua ndo ungeliona balaa lake..Pesa lazima ingekutoka
Yaani namna alivokua anajikunisha kwa mzee nlihisi anafurai kabisa...dah unanikumbusha enzi zangu nilikuwa sipandi dala dala ambayo haijajaa nipo radhi nisubiri kituoni hata masaa 2 kungojea daladala iliyojaa niwabambie wadada waliokosa siti
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah!we umeshindikana aiseedah unanikumbusha enzi zangu nilikuwa sipandi dala dala ambayo haijajaa nipo radhi nisubiri kituoni hata masaa 2 kungojea daladala iliyojaa niwabambie wadada waliokosa siti