MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,012
Hapo sina uhakika ila ukifuatilia majina hata ya waisraeli kwa Lugha ya kimasai yanaendana. Mfano Yakobo. Wao husema E yakobo. Maana yake mmoja atachukua. 2. Musa kwa kimasai Musana maana yake wa Zamani. Sinai maana yake Huzuni yangu. Sayuni wao husema Nyumba ya Sion kuna mambo ukifuatilia ni kama wanaendana ila sidhani kama itatufanya tuhakiki kuwa ni kabila moja maana mbona wao ni weusi