Na ndo taifa lenye maji mengi kuliko yoteBuhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka mbinguni yaani mana(senene)maana hadi Leo Hakuna mtu anaye jua chimbuko la senene hivyo wahaya ni taifa teule
Nimeanza kuelewa kwanini waafrika tuko nyuma kimaendeleo japo tuna kila kitu anachotumia mzungu (hata kiteknolojia pia maana aina zote za malighafi zinapatikana huku) Kumbe sisi mababu zetu (weusi) ni albino wa kale [emoji12] [emoji12] na walitupwa kwa ulemavu wao. Ndio maana hata watawala wetu wanakua na hasira na visasi kwa wingi. Sababu hua tunajihisi kudharauliwa kila wakati so mkubwa anamalizia hasira/chuki zake kwa mdogo maana asili yetu (uzunguni) walichukia spices yetu nyeusiWamasai ni wayahudi kweli,sasa kwanini wao weusi ni kwamba, wamasai walipopata watoto wenye ulemavu wa ngozi wazazi wa kiume walikuwa wakiwatupa,Lakini wamama waliwaficha mapangoni na kwenda kuwanyonyesha kwa siri,kwahiyo walipofika umri fulani walianza kukimbia kuelekea kaskazini kwenye hali ya ubaridi na Ndio wakawa wengi ndo hawa leo tunawaita weupe,na ndo maana unaambiwa masalia ya binadamu wa kale kabisa yalipatikana hapa kwetu,ndo ninavyoelewa
WANAJISEMA WENYEWE MKUU, UZI UMEANZISHWA NA MHAYAHamchoki kuwasema wahaya? Je mtapata faida gani? Pambana na hali yako
hahaaakumbeeee, ndo maana wana maji
Naona unatupotosha,kabila linakuwa taifaBuhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka mbinguni yaani mana(senene)maana hadi Leo Hakuna mtu anaye jua chimbuko la senene hivyo wahaya ni taifa teule