kumbe wahindi nao wanatutamani

Kumbuka hao unaowalia pesa ipo siku watakusaka na kukufanyia kitu mbaya!
Bse kama huna haja ya kugawa then na ela zao usipokee,kupokea ni dalili ya kukubali kugawa mzigo.
wewe hujawai kuliwa hela sema kweli
 
thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia

mimi nna ndugu zangu wameoa wahindi kwa ndoa.....ni sehemu ya familia
nina cousins wahindi......

wahindi wanaabudu pesa tu
kama wewe baba yako angekuwa ndo mwenye makampuni hayo ya madini na ujenzi
hao wahindi wanakuletea posa na harusi inafungwa trust me....nimesoma na wahindi
primary mpaka high school nawajua....
 
Mimi nakwambia wale pesa yao, si wamezitoa kwa mapendekezo yao wenyewe. Hiyo ni dawa ya wanaopenda kucheat halafu sepa kama kawa, hawa huwa wanataka uroda tu they're not for commitment or longterm relationship.
dah hv wahindi wana flavour gani madameee?
 
tena boss nilikuwa nataka nikuunganishe nao niliona kuna thread unaulizia madini ya copper
ndo tulikuwa tunanunua na kupeleka china
najua massuplier wooote hapa mjini na wanakotoa
dodoma,kondoa iringa wapi wapi
 
hawa wote wameshalumega acha kupiga porojo hapa
 
thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia

Mie nimewahi kuona wengi tu..Ila kuna mmoja pale Morogoro kwenye miaka ya 1990 alizaa na dada wa kibongo..ilibidi mtoto akafichwe kwa sababu mama wa kijana alikuwa anasuka mipango mtoto auawe...It is very serious!

Bahati mbaya sikuweza kujua iliishia wapi. Ila ukweli unabaki pale pale kwamba Wahindi wanaoishi Bongo hawataki kuchanganya damu na sisi!!...Why?? (changanya na zako!!!).

Babu DC!!
 
tena boss nilikuwa nataka nikuunganishe nao niliona kuna thread unaulizia madini ya copper
ndo tulikuwa tunanunua na kupeleka china
najua massuplier wooote hapa mjini na wanakotoa
dodoma,kondoa iringa wapi wapi

wewe ndo wale wanaokufa masikini huku 'utajiri wameukalia'
thread niliweka karibu mwaka sasa tena ni wazungu wa Norway ndio waliokuwa wanataka
badala ya kuni pm tufanye maambo unakuja leo kunikumbusha...nishawaambia watafute watu wengine
 
nilikuwa sijajoin jf nilikosa jinsi ya kukupata,nilikuwa sijui hata ma pm ni nini,ungeacha hata simu aisee
 
Wewe kazi zako unapata kwa wahindi tu? Kama hauna kazi kwa sasa njoo nikuajiri mimi. Achana na wahindi mdogo wangu.
 
Ninamfahamu mhindi aliyeoa mswahili ni maarufu sana anaitwa Kaka "Aliyekuwa mmiliki wa timu ya Tukuyu stars Banyambala".Yeye baada ya mkewe kufarki na kupeleka majivu kwao India ameoa beki tatu wake na wamezaa watoto watoto wazuri kwelikweli!Wahindi ni watu na wanamapenzi ya kweli kama watu wengine, haiwezekani wote wakawa na roho mbaya za kibaguzi!nakushauri ikitokea ume fall kwa mmojawapo "give it a trial" jaribu unaweza kuwa chanzo cha mabadiliko ya fikra za hao ndugu zetu!tunadhani wanatunyanyapaa pengine sie ndio tunawanyanyapaa kwa kuwafikiria vibaya!
 
thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia
.
Kuna jamaa yangu alikua anafanya kazi kwa mhindi flan mwaka 1989 mara akapendwa na bint wa "baniani". Mapenzi yakashamiri sana na kilichotokea baadae ni ujauzito. Binti alipomsimulia mama yake, akaambiwa baba akijua atamnyonga. What they did, mama alimpeleka kwa bibi yake huko India fasta wakaenda kuichomoa ndio ikawa salama yake.
.
Wahindi sio watu, ni people.
 
mla vya wenzie na vyake uliwa mkuu,haijalishi how long will it take...
 
...huwa wanakula tigo tu hao!! Ungekosea ukachichanganya uone cha moto!!!!
 
Smile wapenda sana kula vya watu weye! Shauri yako!
Ningekuona u shujaa kama ungewakabili na kuwachana live na si kula vya kwao halafu unasepa.
 
Wahindi wengi wanaume hawana raha kwa kuwa wake wao wanawatawala(bossy) halafu ni wakatili.Labda ni kwa kuwa wahindi wanawake huwa wanatoa mahari.Hii inachangia kuwafanya watafute mapozea ya waswahili.Lakn mila na desturi zao haziruhusu kuoa wasio wahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…