kumbe wahindi nao wanatutamani

be carefully, observe them well, omba sana ili ujue mpango na makusudi ya Mungu juu ya watu hao
 

Mkuu Smile,

Haya inakuwaje tena suzisuzi tu ulikuwa unauliza kuhusu jinsi ya kupata mtoto wa kiume.

Ni yupi anakuchanganya ni hawa wahindi au unae unaempenda kwa dhati maana hii ni hatari.

Sasa waja na hii topic ingine, ule ushauri wangu umeenda bure au?
 
Kwa jinsi ulivyojieleza, Ashakumu si matusi, 50% ya waliokutokea walikumega.
Any how, for your info, wahindi hupenda kutokea mademu amabao wanaonekana wako Loose loose....
 
Ukizaa na muhindi lazima mtoto atunzwe museum!
 

Kuna mmoja wao ashakulamba kwa hiyo wanapeana taarifa kuwa pale(yaani kwako) maji mara moja
 


Sasa dada yangu wewe ulitongozwa na wahindi au mabosi? Mbona hilo ni jambo la kawaida kwa mabosi!
Tunasubiri wakati mwengine uje utwambie juu ya wazungu as far as hao ndio watakuwa mabosi wako!
 
...................nimepita tu.:yo:
 

Inawezekana upo flat sana nyuma kama umepigwa pasi, ndio mana wanakupenda, sababu wahindi ndio style zao. huo ni mtazamo tu.
 
Najua hiyo avatar siyo picha yako ya kweli. Wahindi wanahusudu Wanawake weupee tu, preferable shombeshombe aka waliochanganya damu. Wewe upo hivyo?
 
Bila shaka unaamini kuwa nguvu ya mtu yaweza liwa bure, sasa wewe endelea tu kula vya watu hasa hao wahindi! Nakuhakikishia hawatatimia watano utakaowaliza kwa style hiyo hiyo ispokuwa utashinda nyuma ya kabati ukiwa zezeta! "mungu akuepushilie mbali na balaa hilo"
 

Mbona waswahili uwasemi wanaokufukuzia? au wenyewe unawapa tu bila shida
 
cd yako inaskip sana.kajipange upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…