thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia
sidhani kama kuna tatizo kutoka na watu wenye asili ya India unless unaji-stereotype!! ndege mjanja hunasa kwenye tundu... nabashiri kuna mmoja hasa huyu wa sasa ata-hit the target......cha msingi hiyo motive ya kuchukua pesa na kukimbia inabidi uiondoe...cause it makes someone think you are doing that as a business (who.r.e)???? plz dnt take it personal I don't mean to be offensive....