Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na mshiko tu nao wanagawa kwa kila rika!!!thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia