Kumbe wahindi walioteshwa kabla ya "babu"


Mkuu!
shida ni contents za thread yako-kama wahindi na Kenya walishafanya uchunguzi na kuwa wanaujua mti huu kabla na ndicho ulichotaka watu wajue,sasa watu wanauliza then wa-relate vp na huyo babu wa liliondo??yaani out of that article of yours which conclusion should people make?Hiyo ya kwamba ile dawa ina madhara inaweza kuwa sahihi (lakini tunahitaji muda kulihakiki hilo),swali linabaki palepale sasa kwa thread yako uliyotoa mbona hakuna relation??no matter nini kizuri unachotaka kusema..kuna thread yako ulishaweka ambayo ulieleza sababu zako za kutoamini dawa ile ya babu (kuna logical ideas uliweka ambazo naamini zilikuwa strong),lakini hii ya leo mkuu if you calculate coiffient of correlation unapata zero mkuu!!!
 
Mkuu!
shida ni contents za thread yako-kama wahindi na Kenya walishafanya uchunguzi na kuwa wanaujua mti huu kabla na ndicho ulichotaka watu wajue,sasa watu wanauliza then wa-relate vp na huyo babu wa liliondo??yaani out of that article of yours which conclusion should people make?Hiyo ya kwamba ile dawa ina madhara inaweza kuwa sahihi (lakini tunahitaji muda kulihakiki hilo),swali linabaki palepale sasa kwa thread yako uliyotoa mbona hakuna relation??no matter nini kizuri unachotaka kusema..kuna thread yako ulishaweka ambayo ulieleza sababu zako za kutoamini dawa ile ya babu (kuna logical ideas uliweka ambazo naamini zilikuwa strong),lakini hii ya leo mkuu if you calculate coefficient of correlation unapata zero mkuu!!!

 
kuna watu humu jf wana maslahi na babu mmoja alidiklea akasema anatoa huduma ya usafiri wa kati ya arusha kwenda kwa babu nahisi hao wanaopiga chepuo na wao wanafaidika na huduma ya "babu"

yaani m.s huna chochote ila ni kwa sababu umemsikia babu ana uhusiani na ukristo,so huna laziada,hizo dwa zenu zimeshindwa kuwaponya watu kwa nini wasiende wanapopata msaada,,,,,,,,,,,,,kama swala la kuua sell zipo dawa nyingi tu zinazoua sell,kwa maombi ya babu sell hazifi na hiyo ndio tiba,,,,ukipenda utainywa usipoipenda utaendelea kuteseka babu hakuita mtu pale,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Miss Judith ndiye Mohammed Shossi wala msijisumbue nina uhakika 100%
 
mkuu shossi we need 100 more threads za babu bwahahahahaha ishadaddie mkuuu
Miss Judith ndiye Mohammed Shossi wala msijisumbue nina uhakika 100%

dam right niliogopa kusema
 

Ukristo wenyewe unamkataa babu pale Yesu aliposema "[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake Yohana 5:37" [/FONT]Ikiwa Mungu alimtumia roho mtakatifu/malaika gabriel iweje babu awe anapiga story na Mungu kwenye ndoto? Babu na Yesu inamaana babu ni zaidi? Tafakari mkuu,
 

omeona ulivyokuja vizuri hahahah janja yote kwisha,,,,,ni kama sindano inapoingilia ndipo itokapo,,,,,,sasa shida yako nini?kama babu ni shetani na anakuponya ukimwi unaendelea na imani yako shida ikowapi,,,,,,?ACHA KAHAWA nenda kapate kikombe m s(huo utafiti ulifanywa lini babu anaijua bawa toka 1991
chukua hatua!
 

Sitaki kuamini kwamba una matatizo ya uelewa wa mambo lakini ni dhahiri kwamba aliyekutuma kumshambulia babu amekufanya ushindwe kutumia bongo yako sawasawa.

Akili ya kawaida kabisa ingekusaidia kufahamu kwamba kama mti huo ulishafanyiwa utafiti ukaonekana una sumu lakini babu anautumia kutibu watu na wanapona, basi kuna nguvu ya ziada inayotenda kazi kupitia mti huo nayo ni nguvu ya Mungu.

Hata wizara ya afya juzi wametangaza matokeo ya uchunguzi wao na kukiri kwamba dawa hiyo haina madhara yoyote kwa afya ya binadamu, sasa wewe sijui unaongea nini hapa.

Maslahi binafsi? chuki binafsi? husda? Upeo wa maandiko matakatifu?? Umetumwa? unatumika bila kujifahamu?
 
Nilishasema mnajisumbua bure kumuelimisha huyu, maslahi yake yamevurugika, Mohammed Shoss is 100% Miss Judith, i can bet 150 bucks!
 
Hii Kwa Kweli Nimeipenda
 

Huu ni uthibitisho tosha kwamba huifahamu Biblia, unaona unavyoisoma kwa makengeza, yani unalazimisha Biblia ikusupport badala ya kuacha Biblia ikuongoze. Ni vizuri ukajikita kusoma quran manake naamini hapo ndipo unaweza kusaidika zaidi kuielewa vizuri dini yako kuliko kupoteza muda kutafuta mistari michache ya Biblia kukusaidia kupotosha tiba ya babu wa loliondo. Biblia inasomwa kwa uweza na nguvu ya Roho mtakatifu sio tu unakurupuka kama unavyosoma gazeti la al huda, matokeo yake ndo kuokoteza mistari usiyoifahamu maana na context yake unakuja kushadidia hoja ya hovyo kabisa namna hii.
 
Miss Judith ndiye Mohammed Shossi wala msijisumbue nina uhakika 100%
mwanaume kutumia jina la kike ni hatari manake with time unaweza develop tabia za kike akajikuta unatamani mambo flani ufanywe
 
ukute hata Wizara ya Afya ya Tanzania haikufanya uchunguzi wowote, ila tu ilishia kusoma hiyo report afu ikafikia kwenye hitimisho kuwa dawa hiyo haina madhara pasipo kutuambia kama inatibu au haitibu
 


Nakupa ushauri wa bure tu, Biblia haisomwi kwa kukariri wala haisomwi ukiwa umekaa kwenye mkeka, endelea kusoma vitabu vya kukariri ambavyo umevizoea, Biblia inahitaji Bible knowledge kwanza kabla hujaanza kuisoma.
 

serikali si ni juzi tu imesikika ikitoa taarifa kuwa dawa ya babu haina madhara? au niliota tu??
 
Taarifa ya watu wa afya waliokwenda kupima wameeleza kwamba "Kwa kiasi (dozi/kikombe) cha dawa anachotoa babu, imethibitika kwamba dawa hiyo haina madhara kwa binadamu"
 
enheee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…