Kwa nini unafikiri kwamba ni "wehu"? Watu wanaabudu kwa mujibu wa mila zao zinazoenda as far back as 1500 years (so you know this is not just any crazy modernist's pervetion) na hawaoni aibu kukubali kwamba binadamu ana reproductive organs wewe unawaita wehu?
Phallus worship ni kitu kilichokuwa very common all over the world prior to the Christian Era, hakuna continent lolote ambalo halikuwa na Phallus worship ni westernization tu na ideas zake za kuimpose shame on these "private part" ambayo imekuja kuharibu perception yetu.
Kwa hiyo, hii idea ya kwamba Wajapan ni "wehu" is as myopic or ethnocentric as any idea insulting African traditional culture, such as ancestor worship or inded any Christian prayers.
You can say it is not scientific, lakini kuwaita Wajapan "wehu" kunaonyesha utovu wa elimu ya historia.Some would even go as far as saying that wewe unayewasema Wajapan "wehu" ndiye uliye "mwehu".