nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
My friend this is Kenya!. Wakenya huwa tunajua kuangazia shida zetu. Ingeniudhi kama angelikuwa ni mtanzania ama mtu mwingine toka nje ya Kenya angekuwa ndio mwenye kuliangazia hili. yaaani, kenyan problems being highlighted by kenyans themselves and subsequently and Kenyan solution for the same.Kwa muda mrefu kumekuwa Na ubishani wa kuzidiana mambo kadha wa kadha Kati ya watanzania Na wakenya, lakini Mimi Kama mtanzania nimelazimika kukubali wakenya kwa walipofikia katika hili wametuacha mbali, Hongera jirani!.
Kwa ufafanuzi zaidi video inajieleza...!.