Kumbe Wakenya Kwa Hili Mmetuzidi!, ...Hongereni!

Kumbe Wakenya Kwa Hili Mmetuzidi!, ...Hongereni!

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
939
Kwa muda mrefu kumekuwa Na ubishani wa kuzidiana mambo kadha wa kadha Kati ya watanzania Na wakenya, lakini Mimi Kama mtanzania nimelazimika kukubali wakenya kwa walipofikia katika hili wametuacha mbali, Hongera jirani!.
Kwa ufafanuzi zaidi video inajieleza...!.
 
Attachments

My friend this is Kenya!. Wakenya huwa tunajua kuangazia shida zetu. Ingeniudhi kama angelikuwa ni mtanzania ama mtu mwingine toka nje ya Kenya angekuwa ndio mwenye kuliangazia hili. yaaani, kenyan problems being highlighted by kenyans themselves and subsequently and Kenyan solution for the same.
 
Hehehe si Bongo mliagizwa na mkulu muwape polisi hela ya rangi ya viatu.
 
Kuna ulaji rushwa hata Uingereza na Korea (South)
Remember the Chickengate "skendo" where Britain had already brought people to book
And the Samsung scandal coming upShift_L
 
Back
Top Bottom