Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Katika ukurasa wa Marai Sarungi kwenye mtandao wa X, kuna tangazo kwenye gazeti la serikali ambalo ni tangazo la tarehe 11/07/2025 likiwa ni tangazo la serikali kuhusu kanuni za kulinda mashahidi.
My take:
Watafanya yote ila watambue kadri maumivu kwa wapinzani yanapozidi kuwa makali, maumivu hayo ndio hufikia kileleni kabla ya kufika mwisho.
Wenye akili mtanielewa.
My take:
Watafanya yote ila watambue kadri maumivu kwa wapinzani yanapozidi kuwa makali, maumivu hayo ndio hufikia kileleni kabla ya kufika mwisho.
Wenye akili mtanielewa.