Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi?
Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua.
Niwaulize tu mambo yakiwa tofauti hiyo June 3, mtaficha wapi sura zenu?
Nilitarajia leo muwaponde na waliopata ushindi dhidi ya Yanga kwasababu wanagombania kombe la looser.
Hakika mtateseka sana na msubiri tubebe kombe la ASFC muumie zaidi kwani nyie huu mwaka ni kama wafa maji tu hamna kikombe hata kimoja.