Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Roho zinawaumu sana jamani!! Sasa mtu anatukana wakati hajatukanwa?!Kama ambavyo wewe inakuuma kukandwa, mlitamba sana na kale ka ma U.T.I kenu, eti hamtaki support yetu nakwamba nyie ni wadedili sana mnajiweza, matako yak...! Kumradhi, matokeo yake mmebinuliwa kama mandazi licha ya kutimiza masharti ya mganga wenu kumdhihaki mzee juma mgunda, likini utombile mmeinamishwa laivu, dah!
Mwarab amejua kuyanyamazisha ma inzi ya kijani.Roho zinawaumu sana jamani!! Sasa mtu anatukana wakati hajatukanwa?!
Unateseka sana!!!Mwarab amejua kuyanyamazisha ma inzi ya kijani.
Tena wakamchukua kabisa wanamlipa mshahara mpaka sasa!.Aliyetoa kauli ya kombe la loser ni nani na nyie mkaibeba na kushangilia ndio maana wanasema huko wenye akili ni wawili.
Kituko hiki!!!Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.
Simba na.....
Sasa na niye mbona mnashabikia maneno yake?Tatizo yanga mnakosa ustaarabu. Kipigo cha leo ni laana ya maneno ya shombo ya msemaji wenu.
Kumtukana Mgunda bila kosa sijapenda kabisa
Umesahau na Raja Casablanca 3-0Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.
Simba na.....
Wanajitoaa ufahamuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliyetoa kauli ya kombe la loser ni nani na nyie mkaibeba na kushangilia ndio maana wanasema huko wenye akili ni wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiiUnatufokea sisi kwani sisi ndo akina IBRAHIM BENZAZA? Mlaumu huyo dogo kwa kuuzamisha zaidi ule mwiko kiasi kwamba hauonekani tena kwa nje.