Asante sana mzee kwa kumvua gaidi la siasa buktaππ€£π€£ Mbavu zangu wajemeni mbavu zangu...ππ hii futuhi
Kamvua boksaAsante sana mzee kwa kumvua gaidi la siasa buktaπ
Kamvua boksa kabisaAsante sana mzee kwa kumvua gaidi la siasa buktaπ
Mmoja anakuwa tayari kanunuliwa na ccm...Mbowe ni bidhaa halali ya ccmKwanini kila wakati wa uchaguzi hutokea mavutano kwenye vyama pinzani?. Mfano Lipumba na Seif Sharif. Mzee wa mihogo na Ukawa.
Sasahivi Mbowe na Lissu hapa watakao umia ni Chadema wakati ccm inajipanga kuiba kura na. kubaki madarakani.
Vya upinzani Tanzania ni geresha tu, ila ni mpinzani namba moja TanzaniaKwanini kila wakati wa uchaguzi hutokea mavutano kwenye vyama pinzani?. Mfano Lipumba na Seif Sharif. Mzee wa mihogo na Ukawa.
Sasahivi Mbowe na Lissu hapa watakao umia ni Chadema wakati ccm inajipanga kuiba kura na. kubaki madarakani.
πππππMarehemu(cdm) amekufa kifo cha kawaida kabisa.
Msimamizi wa mirathi (ccm) aanua matanga kwa vifijo.