Pre GE2025 Kumbe Walioenda kwa Mbowe walikuwa wamealikwa?

Pre GE2025 Kumbe Walioenda kwa Mbowe walikuwa wamealikwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini kila wakati wa uchaguzi hutokea mavutano kwenye vyama pinzani?. Mfano Lipumba na Seif Sharif. Mzee wa mihogo na Ukawa.

Sasahivi Mbowe na Lissu hapa watakao umia ni Chadema wakati ccm inajipanga kuiba kura na. kubaki madarakani.
Tena CCM ndiyo wanazidi kukoleza moto kwa kujifanya wao ni timu Mbowe,hata hapa JF wanaccm wote wanapigia debe Mbowe.
 
kama wanampenda mbowe kiasi hiki, siku ya maandamano walikua wapi?
mbowe aliandaman mwenyewe na binti yake.

hii ni ccm style, kwa kweli mbowe astaafu kwa heshima maana mwakan chadema kitakosa sera kwa sarakasi hizi ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom