CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Tena CCM ndiyo wanazidi kukoleza moto kwa kujifanya wao ni timu Mbowe,hata hapa JF wanaccm wote wanapigia debe Mbowe.Kwanini kila wakati wa uchaguzi hutokea mavutano kwenye vyama pinzani?. Mfano Lipumba na Seif Sharif. Mzee wa mihogo na Ukawa.
Sasahivi Mbowe na Lissu hapa watakao umia ni Chadema wakati ccm inajipanga kuiba kura na. kubaki madarakani.