KUMBE WANAJUA! Janja ya Raila na Kalonzo kurudi bungeni kinyemela yazimwa na IEBC!

KUMBE WANAJUA! Janja ya Raila na Kalonzo kurudi bungeni kinyemela yazimwa na IEBC!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
cordpx.jpg

(Jamani hata nyuso zao zinaonyesha jinsi walivyochoka hawa watu.)

Cord coalition leaders walk along Harambee Avenue on March 13 to a meeting at Kenyatta International Conference Centre in Nairobi. Coalition's plan to change lists of nominated MPs has flopped. Photo/FILE NATION MEDIA GROUP

Wakijua matokeo ya kale kamchezo kao ka kujaribu kupindisha kauli ya wapigakura wa Kenya kuwa itatupwa bila masikhara na Mahakama ya Kileleni ya Kenya, Raila na Kalonzo waliipigia IEBC magoti na kuiomba iwaruhusu watengue orodha ya wabunge wa kuteuliwa ili vibosile wao tajwa warudi bungeni na wasikose mahali pa kupumulia baada ya Muigai Kenyatta kukamata dola wiki ijayo.

IEBC imetupilia maombi hayo na kuwaamibia OCRD deadline imepita na hakuna mwanya huo kabisa.

Sasa Raila na Kalonzo wanajipanga kuanza likizo ya milele kwenye siasa za kenya baada ya Supreme Court kuwasambaratisha Ijumma wiki hii.

Jisomee hapa kwa kubofya upate taarifa za ziada:-

Cord's push to nominate new MPs fails
 
Baada ya kusoma utetezi wa IEBC raila and team wametishwa na haya:-

The 26-page response urges the Supreme Court to reject all petitions challenging the outcome arguing:

• CORD's challenge over the accuracy of the final voter register is based on incorrect provisional figures;

• Some of the alleged discrepancies are merely related to special sections that all parties were aware of;

• The electronic voter identification and results transmission were meant for transparency only, not to substitute manual process required by law;

• The unexpected and unplanned failure of the two electronic systems had no bearing on the final outcome;

• Details on Forms 36 (constituency totals) used in the manual tally were not manipulated and contain no grave errors as alleged;

• None of the 291 constituencies reported had vote totals greater than the number of registered voters.

The electoral body's legal team, however, conceded the poll had numerous challenges and said this was due to the tight timelines they were forced to work under.

IEBC informed the court it had been in existence for just 18 months, during which time it "completed activities that require an election cycle of five years". The team also pointed out that the March 4 election was Kenya's largest and most complex ever, with an 86 per cent turnout that presented logistical issues.

Wakaona kheri tena wairudie IEBC iwaruhusu wafute majina ya akina mama na wawaweke Raila na Kalonzo Musyoka waende bungeni hebu soma hapa:-

The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) has written back to the Orange Democratic Movement (ODM), Wiper Democratic Movement and Ford Kenya explaining that the lists of nominated MPs and senators could not be altered after the closure date.

The three parties had jointly written to the IEBC on March 15 requesting that they be allowed to re-open and "rectify" their lists of nominees to Parliament, Senate and county assemblies.

mahaba yako kwa kenyatta yamezidi hadi umejivua ufahamu.
kesi bado ni mbichi.

Unapoona mgombea Uraisi aliyeshindwa na kesi iko mahakamani lakini anaiandikia IEBC anataka atengue uteuzi wa maseneta na wabunge ili wajiweke yeye na kalonzo ujue "KUMBE WANAJUA" kesi yao haina mashiko hata chembe. Sasa IEBC imewazima kwenye hilo wanasubiria kilio kingine Ijumaa.
 
I predicted this shyt, in 2Pacalypse!

What we are now witnessing is a house that was built in a quicksand is about to fall on its own weight; not even a tsunami, with a thud reminding most of us how a cookie crumbles.................It is happening and it happening NOW!
 
No way out! Wakubali kushindwa tu mkuu. Hilo ombi la kubadilisha hivyo viti viwili pekee nadhani ni kuvunja katiba kwa maslahi binafsi.
 
Ninavyofahamu ni kuwa Kalonzo alishaweka jina lake kwenye orodha ya mwanzoni, kwa nini tena anaomba orodha itenguliwe?
 
Nadhani tuache mpaka hiyo ijumaa tuone mwisho wa hii saga ni nini maana tunaweza kusema sana humu na mwisho wake tukaja kuonekana ni watu tusiojua kutamka kuendana na hali halisi.
Ila Kenya wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ambayo sisi Tanzania itatuchukua muda mrefu kuifikia.
 
Tatizo wewe jamaa un mahaba wala hata sio Mapenzi ni mahaba na Kenyata yaani moyo unakuuma...wewe ulitegemea hao wajibu vipi ile Petition....na kinachofanya kazi mahakamani pamoja na mengine mengi ni Ushahidi...if u have substantila evidence u will win the case....kama hao Ulio na mahaba nao wangekua na grounds za kupinga case kama ulivyoeleza hapo ingewetupiliwa mbali mapema sana.....acha mahaba hayo subiri hukumu tuone nani ameshinda...
 
You can say that again. Kuwanyang'anya akina mama viti vyao vya upendeleo ili kuwaruhusu raila na Kalonzo waingie bungeni kweli ni dhuluma. Eti wanadai wahusika wamejitoa. Kwa sababu zipi mtu akatae ugali? Yaani hawa waheshimiwa ni walafi sana! Ukiangalia Raila kaka yake yumo kwenye orodha ya kuteuliwa na dada yake eti naibu gavana wa Kisumu. Hivi ni wao tu wenye matumbo na wengineo wana migongo?
 
Tatizo wewe jamaa un mahaba wala hata sio Mapenzi ni mahaba na Kenyata yaani moyo unakuuma...wewe ulitegemea hao wajibu vipi ile Petition....na kinachofanya kazi mahakamani pamoja na mengine mengi ni Ushahidi...if u have substantila evidence u will win the case....kama hao Ulio na mahaba nao wangekua na grounds za kupinga case kama ulivyoeleza hapo ingewetupiliwa mbali mapema sana.....acha mahaba hayo subiri hukumu tuone nani ameshinda...

Hapa hakuna cha Mahaba au Mapenzi; ukweli ni kuwa "The law requires that the
names of those the parties
intend to nominate be
submitted to IEBC before
the General Election".

Sheria ndivyo isemavyo, lakini CORD waliandika hii barua kama ifuatavyo:- “Following the discussions
that we have had with you
on the issue of party
nominations to the Senate,
National Assembly and
county assemblies, we would like to make the
following proposals and
seek your approval for the
same: That the CORD
nominates the leadership
of parties partners in the coalition to Parliament
should the need arise,”
reads the letter jointly
signed by ODM secretary-
general and Kisumu
Senator-elect Prof Anyang’ Nyong’o, Wiper secretary-
general and Makueni
Senator-elect Mutula
Kilonzo and Ford Kenya
secretary-general and
Tongareni MP-elect Eseli Simiyu.

Kisababisha cha walaka huu ni "The move could have
opened the window for
the possible nomination of
top ODM, Wiper and Ford
Kenya leaders such as
Prime Minister Raila Odinga and Vice-President Kalonzo
Musyoka should the
Supreme Court case they
have filed against the
declaration of Uhuru
Kenyatta as the presidential election
winner fail. But the
coalition was quick to say
that their move was not
aimed at cushioning the
two leaders.

Mr Odinga has promised to
abide by the ruling of the
highest court in the land
which means that should
he lose the case, he would
be out of active political office. But if it happens that he is nominated, he will be in active politics either as a senator or National Assembly.

Hata hivyo IEBC imewapa masharti kama ifuatavyo:- A top IEBC official who
declined to be named
because of the current
court case between the
commission and Cord
following the disputed presidential election
confirmed that they had
rejected the request as it
was done after the party
lists were closed.

“We can only listen to them
if they provide us with
evidence that the
nominated MP is not willing
to take up the position.
When they do that, we will follow the order of names
on the party list. You
cannot come and tell us
that I quarrelled with so
and so yesterday, so
remove his name and replace it with so and so;
we cannot do that,” he
added.

Mbona vyama vingine vya wagombea Urais yani:- Uhuru, Mudavadi, Karua, Muite, Keneth na Abuda havija andika barua kama chama cha Raila?

Last but not least, Raila should retire to pave way for new generation to avoid repetition of behaviour of not conceding defeate which he has proved to be the Master. Remember he vied 1997, 2007 and 2013 respectively and in both elections he has never conceded defeate.
 
utapeli wa Raila umewaingia wengi humu kwenye jamvi wanafikiria ni mwanamapinduzi wa kweli. Wapigakura knows him better and have sent him to retirement.
 
No way out! Wakubali kushindwa tu mkuu. Hilo ombi la kubadilisha hivyo viti viwili pekee nadhani ni kuvunja katiba kwa maslahi binafsi.

Sijui kwanini hawaangalii alama za wakati. Ipo kesi ya kupina wanaumme kuchukua nafasi za ubunge na useneta za kuteuliwa hayo yote hawayaoni sijui wanafikiri wao ni akina nani?
 
Tatizo wewe jamaa un mahaba wala hata sio Mapenzi ni mahaba na Kenyata yaani moyo unakuuma...wewe ulitegemea hao wajibu vipi ile Petition....na kinachofanya kazi mahakamani pamoja na mengine mengi ni Ushahidi...if u have substantila evidence u will win the case....kama hao Ulio na mahaba nao wangekua na grounds za kupinga case kama ulivyoeleza hapo ingewetupiliwa mbali mapema sana.....acha mahaba hayo subiri hukumu tuone nani ameshinda...

Naona unanionea. Sijamtaja Kenyatta kwenye huu uzi sasa hayo makamasi yako yanatoka wapi?
 
Back
Top Bottom