Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #21
Nadhani tuache mpaka hiyo ijumaa tuone mwisho wa hii saga ni nini maana tunaweza kusema sana humu na mwisho wake tukaja kuonekana ni watu tusiojua kutamka kuendana na hali halisi.
Ila Kenya wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ambayo sisi Tanzania itatuchukua muda mrefu kuifikia.
Ni kweli kenya wamepiga hatua sana kwenye siasa na sheria. Sisi bado ubabaishaji ni mwingi na ndiyo unalinda watu.