Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Nadhani tuache mpaka hiyo ijumaa tuone mwisho wa hii saga ni nini maana tunaweza kusema sana humu na mwisho wake tukaja kuonekana ni watu tusiojua kutamka kuendana na hali halisi.
Ila Kenya wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ambayo sisi Tanzania itatuchukua muda mrefu kuifikia.
Ninavyofahamu ni kuwa Kalonzo alishaweka jina lake kwenye orodha ya mwanzoni, kwa nini tena anaomba orodha itenguliwe?
Kenyata ndiye mshindi hata wakaloge wapi
Hahahah...namkumbuka rafiki yangu!!!!
Mi ninachoona ni kwamba walikuwa wanatest zali la IEBC kama watasema futeni kesi mahakamani na tutaruhudu ombi lenu.
Kukataa ombi la CORD inahashiria tume imejipanga kujibu kesi yao hivyo lazima watakuwa wanaogopa.
I cant biliv tha i am tagged in this Holy Cra.p
Mpe za uso mkuu naona huyu hakujui!!Naona unanionea. Sijamtaja Kenyatta kwenye huu uzi sasa hayo makamasi yako yanatoka wapi?
Unapoona mgombea Uraisi aliyeshindwa na kesi iko mahakamani lakini anaiandikia IEBC anataka atengue uteuzi wa maseneta na wabunge ili wajiweke yeye na kalonzo ujue "KUMBE WANAJUA" kesi yao haina mashiko hata chembe. Sasa IEBC imewazima kwenye hilo wanasubiria kilio kingine Ijumaa.
utapeli wa Raila umewaingia wengi humu kwenye jamvi wanafikiria ni mwanamapinduzi wa kweli. Wapigakura knows him better and have sent him to retirement.
Naona unanionea. Sijamtaja Kenyatta kwenye huu uzi sasa hayo makamasi yako yanatoka wapi?
punguza mahaba mkuu,utaolewa bure bure hii habari nimeisoma dailynation na standard.sio kama unavajaribu kupotosha humu.jamaa wameomba kuifanyia mrekebisho list yao ya awali,lakini hakuna sehemu inaonyesha wanataka wajipachika wao(kalonzo,Raila)kumbuka namination list huwakilishwa kabla ya uchaguzi,pia kuna odm big wings kama henry kosgey,bett,sally gosgei,pia upande wa wiper kuna watu.labda wanatafuta jinsi ya kuwa acomodate hawa watu.ni jambo la ufinyu wa fikra kupindisha au ku edit habari kisa una mahaba na mtu flani.kumbuka vyanzo vya habari kutoka kenya tunavyo.wewe jidanganye mwenyewe lakini humu adanganywi mtu.angalizo mahaba yamezidi mkuu mpaka unajisahau na kuedit habari.hata kama unalipwa angalia ucje uka obwa ....
unajishushia sana tu.utakuwale wanaolipwa na jubilee kueneza propaganda mtandaoni.haya fanya kazi uliotumwa na masters wako.umekuwa slave kiasi cha kujidhalisha kiasi hiki.
kama wizi na utapeli wa uhuru ulivyokuingia.wewe hata Raila akiretire umzidi lolote wala chochote,uwezi hata kumfikia house boy wake.punguza ukuwadi utaibika mwisho wa siku.
Pia hawajasema wanataka kum replace nani na nani.