Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu, mkuu punguza jaziba, hadi nimecheka.Interejensia Pumbavu kabisa ya polisi haiwezi kusaidia kabisa kujua nani mhusika. Shenzi sana nyinyi
Maofisa wa Ubalozi wa U.A.E Wanalalamikia polisi kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya Kimataifa vya habari na Wananchi wa Tanzania kupitia Waziri wa mambo ya ndani Dk Emmanuel Nchimbi kuwa raia wao wanahusika na tukio la Uhalifu lililotokea Arusha.
Kimsingi wametoa muda kwa Serikali ya Tanzania kuwaachia raia hao kwani nchi hiyo inaamini kuwa hawahusiki kwa namna yeyote na tukio la Arusha na kwamba kukamatwa kwao ni kinyume cha taratibu za sheria za Kimataifa.
Taarifa zinadai kuwa watuhumiwa wawili kati ya hao ni "ASKARI POLISI"wa nchi hiyo ya Falme za Kiarabu na Mwenzao mmoja ni Ofisa wa Ushuru wa Forodha wakati raia wa Saud anayeishi U.A.E ni mtaalamu wa maswala ya Moto.
Taarifa zinaonyesha kuwa vijana hao ambao wote ni watumishi wa Serikali waliwasili Jumatano iliyopita kwa likizo fupi ya kutembelea nchi za Afrika Mashariki na walitarajiwa kurejea U.A.E alhamisi wiki hii.
Taarifa zaidi zinabainisha kuwa baada ya kuwasili Tanzania na kutembelea jijini Dar es salaam kwa siku mbili vijana hao waliwasili Arusha Jumamosi wakitumia gari dogo la rafiki yao ambae ni Mtanzania mwenye asili ya kiarabu na kufikia hoteli ya Aquiline iliyopo jirani na Kituo Kikuu cha Mabasi Jijini Arusha.
Usiku huo jumamosi taarifa zinaonyesha kuwa vijana hao walikwenda kustarehe katika Vilabu mbalimbali vya starehe wakihama kutoka Kilabu vitatu tofauti.ilipotimia saa 9 alfajiri walirejea ktk Hoteli waliyoifikia.
Asubuhi ya Jumapili ambayo kanisa ililipuliwa kwa Bomu vijana hao waluanza Maandalizi ya kwenda Nairobi nchini Kenya kumalizia ratiba yao ya Starehe ilioanzia Tanzania lakini kabla ya kuondoka ndipo walipo kamatwa.
TAARIFA ZAIDI:Soma gazeti la Raia mwema.
kuna fmaswali ya msingi sana ambayo hayajapata majibu ya sawa sawa...tukiassume waarabu wanahusika, target angekuwa balozi wa vatican na viongozi waandamizi wa kanisa! Bomu lingekuwa na uwezo wa kufunika eneo lote la kanisa...
Well target wamekuwa waumini, bomu lililotumika ni ndogo lengo hapa ilikuwa ni vitisho zaidi plus propaganda ya utengano wa udini kuendelezwa...in this case adui anaweza kuwa ndani ya serikali na vyombo vya dola, anaweza kuwa ni miongoni mwa viongozi wa kanisa kwani ilishawahi kutokea huko duniani, inawezekana ikawa ni mpango wa kutugawa watanzania ili waendelee kufaidi rasilimali zetu kwani wanajua kuwa tukiungana itakuwa mwisho wao...tafakuri pana inahitajika hapa...
kaka wanakera kila nikituliza hasira hao hao polisi wanazipandisha tena. polisi gani hata shabaha ya kulenga mtu hawana juzi badala ya kupiga mwarifu wamepiga mtoto shenzi kabisa, na mimi ningekuwa waziri wa ulinzi wote nawabadilisha kuwa City wazoa taka.Duuu, mkuu punguza jaziba, hadi nimecheka.
usitukumbushe msiba wa huyo mtoto,machozi yanatutoka,bado tuna huzuni,maskini,kila picha yake ikinijia sina furaha.kaka wanakera kila nikituliza hasira hao hao polisi wanazipandisha tena. polisi gani hata shabaha ya kulenga mtu hawana juzi badala ya kupiga mwarifu wamepiga mtoto shenzi kabisa, na mimi ningekuwa waziri wa ulinzi wote nawabadilisha kuwa City wazoa taka.
kweli wengi wao weledi wao ni wa kiwango cha chini sana,toka mwanzo nimekua nasema kwamba siamini kama hawa vijana wa kiarabu wanahusika,hata kijana ambrose yeye alimbeba mtuhumiwa bila kufahamu kwamba jamaa anakwenda kushambulia kanisa!vyombo vyetu vya usalama hasa polisi wanasumbuliwa na tatizo la ilimu.
Mkuu unamwamini PINDA? Waliohusika na Utekaji wa Dr Ulimboka wako wapi? wamefanywa nini? What if PM mwenye ni sehemu ya Tatizo?...Yatasemwa mengi humu. Lakini nadhani hizi tafakuri mnazozisema hazitofautiani na mganga wa kinyeji. Nini kazi polisi na usalama wa taifa endapo watashindwa kutupatia ushahidi pasipo shaka kuhusu wahuni hao? Ninadhani kama mawanzo ndo ya jinsi hii, bila shaka tutagombana na mchina, mmarekani, m-drc, mkenya na kila mmoja ilmradi tusema tunatengamanishwa tunaonewa ghele/wivu na mambo kama hayo yasiyo na mshiko. Kwa kuwa mh pinda alishasema tuwaachie serikali wafanye kazi, basi tuwaache wafanyekazi ilmradi deadline isiwe indefite.
mkuu unamwamini pinda? Waliohusika na utekaji wa dr ulimboka wako wapi? Wamefanywa nini? What if pm mwenye ni sehemu ya tatizo?...
Duuu, mkuu punguza jaziba, hadi nimecheka.
Swali la kujiuliza hapa je hawa raia walifuata taratibu zote za sheria kuja tanzania?...
Pia walipotaka kwenda kenya walishakamilisha taratibu zote??..au walitaka kuondoka tu kama vile unatoka tegeta unaenda ubungo??
Receptionist wa zamu katika hoteli hiyo anawaongeleaje wageni hao akihusianisha muda wa tukio katika siku hiyo??
Ikiwa serikali itaonyesha udhaifu katika hili basi tena!......