Kumbe Wanaohusishwa na Tukio la Bomu Arusha ni Askari Polisi??

Can you support your notion with empirical evidence?
 

Hili naliona kama issue ya mauaji ya Padri Mushi kule Zanzibar, Polisi hawana majibu sahihi juu ya akina nani ni watuhumiwa. Their intelligence analysis possible use old framework "guessing" instead of facts. It is about time Tanzania Police to be a Police of professionals not "children of Police lines" school failures. Our Police institution needs reform, instead of having one Police organ, we should have different independent Police forces of different roles, say Said Mwema brigade, Hi-Tech Crime Police, Police force to safeguard tourism, etc. meaning watoto wa wakubwa waajiriwe na Said Mwema Bridage na Tanzanian gurus waajiriwe na hizo Polisi zilizobaki to realise efficiency and proficiency within Police work.
 
Yatasemwa mengi humu. Lakini nadhani hizi tafakuri mnazozisema hazitofautiani na mganga wa kinyeji. Nini kazi polisi na usalama wa taifa endapo watashindwa kutupatia ushahidi pasipo shaka kuhusu wahuni hao? Ninadhani kama mawanzo ndo ya jinsi hii, bila shaka tutagombana na mchina, mmarekani, m-drc, mkenya na kila mmoja ilmradi tusema tunatengamanishwa tunaonewa ghele/wivu na mambo kama hayo yasiyo na mshiko. Kwa kuwa mh pinda alishasema tuwaachie serikali wafanye kazi, basi tuwaache wafanyekazi ilmradi deadline isiwe indefite.
 
Duuu, mkuu punguza jaziba, hadi nimecheka.
kaka wanakera kila nikituliza hasira hao hao polisi wanazipandisha tena. polisi gani hata shabaha ya kulenga mtu hawana juzi badala ya kupiga mwarifu wamepiga mtoto shenzi kabisa, na mimi ningekuwa waziri wa ulinzi wote nawabadilisha kuwa City wazoa taka.
 
kama tunaazima mashirika ya kijasusi ya nchi nyingine yatusaidie, hapa kila raia atafute mpango wake wa kujilinda nje ya serikali, ukitegemea serikali ni kama kulala mlango wazi.
 
usitukumbushe msiba wa huyo mtoto,machozi yanatutoka,bado tuna huzuni,maskini,kila picha yake ikinijia sina furaha.
 
vyombo vyetu vya usalama hasa polisi wanasumbuliwa na tatizo la ilimu.
kweli wengi wao weledi wao ni wa kiwango cha chini sana,toka mwanzo nimekua nasema kwamba siamini kama hawa vijana wa kiarabu wanahusika,hata kijana ambrose yeye alimbeba mtuhumiwa bila kufahamu kwamba jamaa anakwenda kushambulia kanisa!
 
Si ajabu hapa polisi wanatumia mazoea kwamba kila ukimuona mwarabu jua kuna bomu kiunoni.
Binafsi naamini mipango ya ulipuaji arusha imepangwa hapa hapa kwetu na hakuna uhusiano na hao vijana wa kiarabu.

Coincidence imewaponza vijana hawa.
 
Mkuu unamwamini PINDA? Waliohusika na Utekaji wa Dr Ulimboka wako wapi? wamefanywa nini? What if PM mwenye ni sehemu ya Tatizo?...
 
mkuu unamwamini pinda? Waliohusika na utekaji wa dr ulimboka wako wapi? Wamefanywa nini? What if pm mwenye ni sehemu ya tatizo?...

jaribu kumwelewesha kaka pinda ni pinda kama ilivyopinda kwenye jina lake naye kilaza tu anapelekeshwa
 
Mimi najiuliza kitu kimoja na hule jamaa eti askari aliyemkamata jamaa aliyelipua bomu, ni bomu lipi hasa hilo? Maana mm naona km habari zinanichanganya, cuz nimesoma hizo habari za huyo jamaa katika magezeti ya udaku...eti "jamaa aliyemkamata mlipua bomu, kwa kumkimbiza, alafu eti walimkuta na mabomu mengine pia"
Sielewi hizi habari zimetoka wapi....mwenye enough information atujuze jamani..
 
haya bana tumwachie mungu atahukumu.
 

Kwani wewee Dada,kwa uelewa wako unadhani hizo process zinafanyika wapi ? Kanisani ?

Mipaka hiyo unayoisikia inakila kitu kwa mahitaji ya kuingia nchini na kutoka as well...

Kwani huo mpaka siku hizo za kabla na baada ya tukio hawakupita Wazungu wowoote ? Au wao ni dhambi kuwashuku ?

Hilo tukio ni " Inside job " maana kama Magaidi ambao tunawafahamu Duniani kama Marekani na vibaraka wao wangeamua kufanya shambulizi la ukweli hakuna mtu ambae angetoka pale kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…