Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,104
Habari ya mapumziko ya EID na long weeked.

Hii kwangu ilikuwa kali kwangu but km ipo means wapo pia.

Nilienda msalimu rafiki yangu ambaye ni ndugu yangu pia, i told her the day before kuwa nitakuja kukutembelea.

Sasa basi nilipofika sbb tumezoeana na haishi na mumewe nikaingia varandani huku nkimwita jina lake....hakuitika but nilisikia kilio flani bedroom, tena cha mwanamme....mmmhh analia ujue milio haswaaa.

Nikapata ganzi ya miguu nikarudi nyuma tartiibu nikatoka nje uani nikielekea mlango wa kutokea, ghafla mlangoni nakutana na mwanae na msichana wa kazi wanatoka sokoni. Mtoto....mamdogooo daddy kajaa, katulete.....,.....nikasema lol mtoto huyu akienda kusikia hayo ya daddy and mummy aibu.

Nikambeba nikatoka nae na msichana wa kazi nikamtuma tena ili ku buy time......nikakaa sehemu na mtoto tukinywa juice for an hour..then nikamcall rafiki..akapokea nikamwambia niko njianai naja..akanambia njoo.

Tukaenda nikiwa na mtoto tukaingia mara mzee akatoka bedroon macho mekunduu..shemeji za siku tukasalimiana then akatoka zake.

"Dada mbona hukunambia km shem kaja? (kumbe hata makelele yangu nlokuja nayo hakuyasikia lolz) aah nilijisahau bhana alinijibu...baada ya kuongea uzalendo ulinishinda...ukweli nilimuuliza.

Her experience...."Ni kweli my hubby hulia sana tu tunapokuwa 6by6 , unajua hata tukila dend...analegea kabisa kwa kulia, unamuona kabisa akilia anafeel something"..i asked wewe unajisikaije vile "aah mbona rahaa..kumliza mwanaume...rahaaa"...tuliongea mengi, si unajua wakina mama tukikutana.

But kikuba nilichotaka kushare na wana MMU ni hili la m baba kufil vitu hadi kumwaga machozi na kulia kwa sauti...mmmh...yani hata kwa kupewa ulimi tuuu.

Mpoo mnaoliaga? Mpo wenye wababa wanotoa machozi na kulia kwa sauti? Tupeni experience.....

Mimi kwangu limekuwa jipya...hadi nimetamani kupata wa hivyo loool


CC Mtambuzi, Nivea, Arushaone Madame B, amu, Fixed Point Kaizer Bishanga, Baba V, Asprin, Filipo, @gfsonwwin Mamndenyi, Paloma, sosoliso, na wana MMU woote
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA, usiombe dume akulilie kunako 6 kwa 6,...........
Hata ukimwambia amtukane mama'ake mzazi atamtukana.
Wa kwanza ni Asprin....aje abishe hapa.

Ila kiukweli mimi husikia raha sana pale mwanaume anapotoa kilio au mguno kuashiria kuwa amekolea na midundo yangu.
Ila sasa kuna wengine ni kero tupu maana yake mpaka mtaa wa pili watajua kuwa baba flani huyoooo....keshaanza.
Mfano hai ni katika nyumba niliyokuwa nimepanga kule Boko, kulikuwa na dada flani hivi akiishi na bwana, sasa ikifika mida ya saa moja moja lazima tukonyezane maana ndio muda wao wa sebene.
Mwanaume kilio, na mwanamke pia kilio....wakitoka hapo sura kavu wanashikana viuno hao bafuni.
Sie wapambe tunaishia kutoana alama kwa kufinyana.
Ila ndo hivo bhana..........tukimuulizaga anasema huwa bwana wake huwa anashindwa kujizuia.
 
Last edited by a moderator:
Chezeya utamu wa hadi kisogoni, machoni na masikioni weye kokuTONA!!! Baadhi ya wanaume hushindwa kabisa kuvumilia hivyo huanza kulia kilio cha maraha.

Ha ha haa rafki yangu BAK mwenzio niliona maaajabu....kumbe raha zinaliza.

Yaani wish nishuhudie live lol....eti ni raha mwili mzima dah
 
Last edited by a moderator:
Mbona silii, mbona siliiii, mbooonaaaaa siliiiiii!!! Hicho ni kilio cha Asprin baada ya kupingiana na cacico kuhusu mjadala wa wanaume kulia.


Nyie wasichana kuna kitu mnanitafuta wallah!

Jianaume linamwaga chozi sababu ya utamu wa naniliu? Hiyo kali.

Mianaume ikiwa inalia hebu muwe mnajaribu kuingiza dole kwenye kinyeo, msijekuta yanakuwa si rizki...

:wave::wave::wave:
 
Sio bure huyo atakua analiwa kabaang(bwabwa baridi ana do na kugegedwa)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha haaa, mi anionyeshe tu kuwa anakolea, lakini kilio sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…