Ulipotelea wapi mkuu? Au uliitwa kwenye orodha ya Mkuu wa mkoa?Kudadadeki JF imevamiwa
Wala hayo ni mawazo yako hivi ukipita sehemu ukakuta kitu cha tofauti hutaangalia?Wanaume wana shape. Unlike men, women dont discuss it openly. Well, huwa wanajadili vichwani afu unaambiwa 'hajanivutia tu' bila kusema.
(Ila hii ya kuzoom wanaume wenzio na wewe, inatia shaka kweli)
Wala hayo ni mawazo yako hivi ukipita sehemu ukakuta kitu cha tofauti hutaangalia?
Alitumwa binzari sokoniHongera kwa kumiliki gari[emoji23]
D.A BashiteWapo na wenye misambwanda kama snura
Dooh basi sawaaMi nimeshangaa alivyo mkubwa juu na chini mdogo alafu hana hata tako bora angeweka hata pochi mfukobwa nyuma angalau hapa patune aisee