Kumbe wanaume nao kuna ambao ni flati screen

Kumbe wanaume nao kuna ambao ni flati screen

waoaume wa dar mnamatatizo sana yaani unaangalia maumbile ya mwanaume mwenzako
 
Wanaume wana shape. Unlike men, women dont discuss it openly. Well, huwa wanajadili vichwani afu unaambiwa 'hajanivutia tu' bila kusema.

(Ila hii ya kuzoom wanaume wenzio na wewe, inatia shaka kweli)
 
waoaume wa dar mnamatatizo sana yaani unaangalia maumbile ya mwanaume mwenzako
Hapana mkuu kuna ambao kwa kweli walivyo huwezi jizuia kuangalia na hata usipoangalia lazma wa pembeni yako atakugusa gusa tuu uone
 
Wanaume wana shape. Unlike men, women dont discuss it openly. Well, huwa wanajadili vichwani afu unaambiwa 'hajanivutia tu' bila kusema.

(Ila hii ya kuzoom wanaume wenzio na wewe, inatia shaka kweli)
Wala hayo ni mawazo yako hivi ukipita sehemu ukakuta kitu cha tofauti hutaangalia?
 
Duuh mkuu unashangaa hadi matako ya wanaume? Astaghafir
Mi nimeshangaa alivyo mkubwa juu na chini mdogo alafu hana hata tako bora angeweka hata pochi mfukobwa nyuma angalau hapa patune aisee
 
Back
Top Bottom