Kumbe wanawake husifia waliowazidi urembo

Kumbe wanawake husifia waliowazidi urembo

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Jamani yule mdada mrembo, amejazia!vipi bro nikuitie. Je umekumbana na hili zali
 
Ndio huwa wana sifiana na kuoneana wivu pia, ikiwemo kujitahidi kuwa mzuri kuliko wote wanao mzunguka
 
Nasifiaga lakin sijui kwa nini nakuaga mzito kwa kweli...
 
Kama anavutia unampa haki yake tu... Sio kazi kumsifia mbona
 
Back
Top Bottom