figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Endelea sasa story haijaishauwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani
Si unapita naye tuImenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni hatari.
Wanawake wa gym wanakutongoza wenyewe. Wanakuambia eti uwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani
Sasa unaona hicho ni kitu kibaya?Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni hatari.
Wanawake wa gym wanakutongoza wenyewe. Wanakuambia eti uwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani
Sio woteImenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni hatari.
Wanawake wa gym wanakutongoza wenyewe. Wanakuambia eti uwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani
Kwani mo Dewji alitekwwa akiwa wai?Wanaume gani sasa? Mbona matajiri hawashindi gym
hili nalo neno la kuwekewa mkazoNa kuna wanaume wanaenda kutafuta wanaume
MsalaniKwani mo Dewji alitekwwa akiwa wai?
Twende tukafanye mazoeziKuna ukweli hapa...
Asipuuzwe...
Tajiri alibanwa na ushuzi?Msalani
Hata ukienda naye atapigwa tu.Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni hatari.
Wanawake wa gym wanakutongoza wenyewe. Wanakuambia eti uwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani
View attachment 3615100