Kumbe wapenzi huwa wanacompare mapenzi

SITAKI KUSEMA SANA, ROHO INANIUMA.πŸ˜•πŸ™πŸ˜•

Pole sana Mkuu George...lakini ukipenda na ukijua unapendwa ni raha iliyoje!...Those things we do when we're deep in love!
 

Pengine hatujawa designed kutulia. Pengine kutulia sio natural. Pengine tunalazimishia tu kuwa na mtu mmoja. Pengine ni ubinafsi wetu tu ndio unatufanya tutake kumilikiana.
 
kweli mkubwa ndio maana hata kuna duu wangu flan tuliachana sasa hivi ananiganda sana na tena mkanishauri hapa hapa, inja maana amecompare akaona bora kwangu kuliko huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…