Sasa mbn mavoko wa tangaDokii Mkenya wapi ni wamatombo uyo mji kasoro bahari
haihitaji hasira mkuu,hili ni jukwaa la celebrities kama wew hauhusiki utoke njee ya jukwaa ase.Sasa kama ni Ndugu tufanye nini?
Acha uongo Dokii ni mtz original mtu wa morogoro hukoDokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Kwa msiojuaa doki ni mtanzania lakin kaishi sana kenya na. Akawa ameadopt kuongea kiswahili kwa rafudhi ya kikenya ndio anakuwa anatumia rafudhi hiyo
Thanks nilikuwa naharaka= lafdhi / lafudhi
....teh hee hee..,una hasira!!Sasa kama ni Ndugu tufanye nini?
Haraka unawahi wapi?!Thanks nilikuwa naharaka
hhahaha mnamengine tofauti na haya auu???Haraka unawahi wapi?!
Umbea tu umekujaa ovyoooooooo
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu,
ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.Podoo Hahaha Mkuu umetisha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] humu lazima ucheke tu hamna namna....teh hee hee..,una hasira!!
..wewe kwenu braza teja,sista changu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wa humu wana roho mbaya!Haraka unawahi wapi?!
Umbea tu umekujaa ovyoooooooo
Watapost nini wakati hawana kiki hadi watu wanauliza tin white ni nani, dokii naye hana usanii wa maana labda rich mavoko.Hongera zao na kwa wazazi wao.wangekua kina mwafulani kila siku tungekoma kwa mipicha