Kumbe wasanii hawa ni ndugu ?

Kumbe wasanii hawa ni ndugu ?

Mkuu unazingua hawafahamiki kwa wote aiseee
Ww kumjua haimanishi wote wanamjua
Akili kuchwani
Binafsi Dokii nimemjua juz baada ya kumuona na mavoko nikauliza Instagram who is this lady ndo kumjua na kuingia kwenye BO yake.
basi mkuu inaonekana wewe ni kinda sana,yani mtoto wa juzi kati hivi! dokii ni celeb wa kitambo sanaaaa kuliko hata huyo mavoko na tine wite!
 
Dokii ni Mkenya original, hao tini na richie ni mtu na kaka yake tena wa damu, ukichunguza kwa makini kuna mfanano sema tu kuna mmoja wao kajipodoa akapodoka.
Dokii, pia ni muimbaji wa muziki wa Injili amewahi kutamba na filamu kama Yoland,Hard Love Moro, Bad Friend, My Nephew, Lonely Heart, Money Transfer,Scandal na nyinginezo.
Kwa muda mrefu msanii huyo alikuwa wakiwachanganya mashabiki wake wakidhani ni Mkenya kutokana na kupenda kwake kuigiza lafudhi ya taifa hilo, ingawa ukweli yeye ni mwenyeji wa mkoa wa Morogoro.
 
Dokii hajawahi kuwa Mkenya, ni mzaliwa wa kilosa sehemu ya kimamba. alijifanya mkenya ili apate nafasi ya kuigiza kaole. ni baada ya kushindwa kupenya akajifanya mkenya baada ya kuona hakuna namna. alipokelewa kwa mikono miwili.
Alafu kakomaa na accent ya kikenya..
Anajipa tabu mno
 
Dokii alimpika na kupakua kwa Komba,sijui huyu Komba kapotelea wapi
 
Back
Top Bottom