talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
basi mkuu inaonekana wewe ni kinda sana,yani mtoto wa juzi kati hivi! dokii ni celeb wa kitambo sanaaaa kuliko hata huyo mavoko na tine wite!Mkuu unazingua hawafahamiki kwa wote aiseee
Ww kumjua haimanishi wote wanamjua
Akili kuchwani
Binafsi Dokii nimemjua juz baada ya kumuona na mavoko nikauliza Instagram who is this lady ndo kumjua na kuingia kwenye BO yake.